Mpangilio wa maneno ni mjengo wa fungu la maneno. Kwa kidenish, mpangilio wa maneno ni wa kudumu. Huwezi kubadilishabadilisha mpango huo kwenye fungu la maneno kama kwenye lugha zingine.
Ulinganisho: Kwa kiswahili mpangilio wa maneno ni wa kudumu pia.
Ordstilling betyder sætningsbygning.
På dansk er ordstillingen fast. Man kan ikke flytte ordene så frit rundt i sætningen, som man kan på nogle andre sprog.