| 8.4 Mpangilio wa maneno | ![]() |
![]() |
Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 1Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Kim aliwaona watoto.
Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 2Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Watoto walimuona Kim.
Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 3Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Simon alimtania Eva.
Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 4Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Paka amemuuwa panya.
Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi 5Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Jana watoto walikula kuku.