Kwenye hali ya kumiliki kawaida mwishoni huongezea-s kwenye majina (ang. 2.6 Aina ya majina ya mwenyewe).
| Kjolens farve er rød. | Rangi ya gauni ni nyekundu. |
Maneno ya hali hutumika pia på.
| Farven på kjolen er rød. | Rangi ya gauni ni nyekundu. |
Ulingaisho:
Kwa kiswahili hutumika majina ya kumiliki (ang. 2.6).