Aina ya kitendo haielezei kuhusu wakati fulani. Aina ya kitendo ni ile ambayo hupatikana kwenye kamusi. Aina ya kitendo mara nyingi huishia na herufi -e.
| blive, skrive, læse, huske | kuwa, andika, soma, kumbuka |
Lakini kuna aina ya kitendo ambayo haiishii na herufi -e.
| dø, gå, få, stå, bo | kufa, nenda, pata, simama, ishi |
Ulinganisho:
Kwa kiswahili aina ya kitendo mara nyingi zaidi huishia na -a.